Hatua za Kufuata kwa Malipo ya Kumbukumbu Namba

Tafadhali fuata hatua zilizo hapa chini ili kufanya malipo kwa kutumia kumbukumbu namba kupitia njia tofauti kama CRDB, MPESA, na NMB.

1. Kupitia CRDB App

  • Fungua App ya CRDB
  • Weka nywila (Password)
  • Bofya sehemu iliyoandikwa Malipo
  • Bofya sehemu iliyoandikwa Malipo Zaidi
  • Itakuletea sehemu ya kutafuta, andika Imarisha
  • Ingiza namba ya malipo (control number)
  • Ingiza kiasi
  • Dhibitisha

2. CRDB kupitia MPESA

  • Bonyeza *150.00#
  • Chagua namba 1 (Tuma pesa)
  • Chagua namba 3 (Kwenda Benk)
  • Chagua namba 2 (Weka control Number)
  • Weka Kiasi
  • Weka namba ya siri
  • Dhibitisha

3. Kupitia CRDB Wakala

  • Bonyeza lipia bili
  • Tafuta Imarisha
  • Jaza control number

4. Kupitia NMB APP

  • Fungua App ya NMB
  • Weka nywila (Password)
  • Bonyeza sehemu iliyoandikwa lipia Bili
  • Chagua Bili zingine
  • Sehemu ya kutafuta andika Imarisha
  • Weka kumbukumbu namba (Control number)
  • Weka kiasi
  • Dhibitisha

5. NMB WAKALA

  • Bofya sehemu iliyoandikwa lipia bili (Bill payment)
  • Bofya sehemu iliyoandikwa Bili zinigine
  • Sehemu ya kutafuta andika SAS au SARIS
  • Weka kumbukumbu Namba (Control number)
  • Weka kiasi

6. Kupitia NMB Bank

  • Tembelea NMB Bank
  • Chukua fomu ya kujaza inayoitwa Online Bills Payment Slip
  • Jaza fomu, sehemu ya kumbukumbu namba weka control namba

7. Kupitia CRDB Bank

  • Tembelea CRDB Bank
  • Chukua fomu ya kuweka fedha
  • Jaza fomu sehemu ya namba ya akaunti jaza control number
Imarisha Maisha Logo