Ofisi Bora
Huduma za Haraka na Uhakika
Mikopo Chap Chap
Je umekwama? Njoo tukuhudumie
Vigezo Rahisi
Usipate shida kuwaza utapataje!
Aina Ya Mikopo
Tuna mikopo ya aina tatu
Ushirikiano na taasisi nyingine
Imarisha Maisha tunafanyakazi pamoja na taasisi nyingine kuboresha maisha ya wateja wetu

Karibu Imarisha Maisha Ltd

Imarisha maisha ina wafanyakazi waliojikita kutoa huduma bora na kwa haraka.
Soma Zaidi
Imarisha maisha pia tumejikita katika kutoa mikopo kwa wateja wenye mahitaji ya dharura .
Soma Zaidi
Mkopaji atapatiwa mkopo ndani ya dakika 15 baada tu ya kukidhi vigezo vyote.
Soma zaidi
Imarisha maisha inawajali wateja wake kwa kuwapa riba rahisi sana kulingana na muda wa ukopaji.
Soma zaidi
Imarisha maisha inawapatia wafanyakazi, vikundi na watu binafsi mikopo kwa vigezo rahisi.
Soma Zaidi
Wateja walio mbali na ofisi zetu wanaweza pata maelezo juu ya huduma zetu kwa njia mbadala kama simu au barua pepe.
Soma Zaidi

Kwanini Imarisha Maisha Ltd?

Imarisha maisha Ltd ni kampuni binafsi inayojihusisha na maswala ya mikopo ya dharura kwa wafanyakazi, watu binafsi na vikundi kwa dhamana rahisi sana. Kampuni imesajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 na kuanza kazi tarehe 16 mwezi wa 11 mwaka 2016. Imarisha Maisha inautambulisho wa kampuni namba 130743 kwa Leseni namba 2415670 na TIN namba 131-930-976. Imarisha Maisha pia inajihusisha na huduma za kifedha kama Uwakala wa TigoPesa, M-Pesa, CRDB na NMB.

Ofisi yetu

Ofisi yetu inaundwa na maafisa 8 kwenye vitengo mbalimbali kama ifuatavyo.
Joseph Simkoko

Joseph Simkoko

Mkurugenzi Mkuu
Mratibu Mkuu wa Shughuli zote za ofisi
Happy S. Udoba

Happy S. Udoba

Meneja
Uratibu wa Kazi za ofisi na uongozi
Charles S. Mwegalawa

Charles S. Mwegalawa

Afisa mikopo
Uratibu wa shughuli za mikopo

Huduma za Mikopo

Habari mpya

Pata taarifa na habari kuhusu huduma zetu na mambo mapya na taarifa zinazohusu maendeleo hasa katika jiji letu la dodoma

Kalenda yako ya kifedha imekaaje?

Kwa watu wengi hawajui kalenda zao za kifedha zikoje hasa kwa kipindi hichi cha kumalizia mwaka. Imarisha maisha inahakikisha kalenda…

Mchango wetu kwenye Jamii

Imarisha Maisha Ltd ni taasisi inayojali sana maendeleo ya jamii inayotuzunguka, na ndo maana tumetoa kipao mbele katika uwesheshaji wa…

Je Dodoma ina fursa gani?

Dodoma inatofauti gani na mikoa mingine ? Je Dodoma ina fursa gani? Je Dodoma ina zao gani ambalo alipatikani mkoa…