Epuka Matapeli !! Hatutoi mikopo kwa mitandao ya simu (Airtel Money, Tigo Pesa, Mpesa au Halopesa n.k). Mikopo yote inatolewa ofisini.
Kuhusu Imarisha Maisha Financial Services Ltd

Ni kampuni binafsi inayojihusisha na masuala ya mikopo ya dharura kwa watu binafsi pamoja na mikopo ya magari na bima. Kampuni inapatikana mtaa wa Uhindini mkoani Dodoma, Tabata Bima,mikocheni, Dar es Salaam na Mission-Kirumba, Mwanza. Kampuni imesajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 na kuanza kazi tarehe 16 mwezi wa 11 mwaka 2016. Imarisha maisha ina utambulisho wa kampuni namba 130743 na TIN namba 131-930-976, tunatoa mikopo kwa dhamana rahisi kama gari, pikipiki au bajaji. Mikopo hutolewa ndani ya muda mfupi na riba zetu ni nafuu sana.

Kwanini Sisi?

Mikopo yetu ni nafuu

Huduma zetu ni za haraka na uhakika

Kwetu mteja ni Mfalme

Tuna uzoefu wa muda mrefu

Misingi inayotuongoza
Uwajibikaji
Uwajibikaji
Uwazi
Uwazi
Uadilifu
Uadilifu
Shabaha
Shabaha
Kasi
Kasi
Kutana na Team Yetu

Imarisha Maisha Financial Services limited inasimamiwa na kuendeshwa na vijana shupavu na wenye maono makubwa katika kuleta mabadiliko ya kimaendeleo ndani ya jamii.

Joseph Simkoko

Managing Director

Learn Heriel

HR Manager

Jackline J. Kivuyo

Manager: Tabata Branch

Rafikiel Elieneza

Manager: Mikocheni Branch

Elizabeth Ladislaus

Manager: Dodoma Branch

Gema M. Baguma

Financial Manager
Imarisha Maisha Logo