Mfanyabiashara
Binafsi huduma zenu ni nzuri, mnajali muda, mnawajali wateja na kuwasikiliza vizuri. Kwangu sijaona changamoto yoyote tangu nianze kua mteja wenu.
Mfanyabiashara
Huduma zenu ni nzuri, mnasaidia sana wakati mtu unapopatwa na dharura, hasa kwa wanaohitaji huduma ya fedha kwa haraka.
Mfanyabiashara
Ninachofurahishwa nacho zaidi kwenu ni namna mnawajali wateja wenu. Binafsi ningependa kusema huduma zenu ni nzuri na zinasaidia sana.
Mfanyabiashara
Kiujumla niseme tu, Huduma zenu ni nzuri sana. Na mmekua na utaratibu mzuri na wenye kuokoa muda katika kutoa huduma.
Makao Makuu Imarisha Maisha Financial Services Ltd
Mtaa Wa Uhindini, Dodoma
(+255) 768 911 049
info@imarishamaisha.co.tz
© Imarisha Maisha Financial Services Ltd. All Rights Reserved. Designed by ImarishaMaisha