Huduma zetu

Mikopo ya wafanyakazi
Damana ya mshahara

Wafanyakazi wanaruhusiwa kukopo kiasi chochote wanachokihitaji kulinga na uwezo wa kufanya marejesho kutokana na kazi wanazozifanya, dhamana kuu ya kupata mkopo kutoka Imarisha Maisha ni kazi unayoifanya.

Mkopo binafsi
Dhamana vyombo vya moto

Mtu binafsi anaweza kukopa kiwango anachokihitaji kwa kuzingatia thamani ya dhamana aliyonayo, ili kupata mkopo binafsi dhamana yake ni vyombo vya moto yaani Gari, Pikipiki na bajaji.

Mikopo ya kibiashara
Dhamana ni biashara

Mfanyabiashara anaweza kukopa fedha kwa ajili ya kusaidia kukuza biashara ndani ya muda mfupi, kiwango cha mkopo kinazingatia thamani ya biashara unayoimiliki, Dhamana kuu ni kuwa na biashara inayoingiza faida.

Wateja wetu

Mnatoa huduma nzuri na taarifa zinazojitosheleza kwetu wateja, hii inatufanya tuweze kufurahia kukopa Imarisha Maisha, hongereni sana endeleeni kutujali wateja wenu

Peter John

Hakika mnatusaidia sana sisi wafanyakazi hasa katika kipindi cha dharura tunapata mkopo ndani ya muda mfupi ili kutatua changamoto inayokuwa imejitokeza.

Juma Maduhu

Kwanini utuchague sisi

Tunajari shida yako

Iwe ni shida binafsi,ya kibiashara , dhalula au kikundi. Kampuni yetu itahakikisha unapata mkopo unaokidhi mahitaji yako

news image
news image

Tutakuhudumia kwa wakati

Hata kama una haraka usijali, huduma yetu inazingatia uharaka wako na tutahakikisha unapata mkopo ndani ya dakika kumi na tano tu.

Masharti nafuu

Riba yetu ni ndogo na vigezo vyetu ni nafuu sana, kwani utaweza kulipa kidogo kigo bila stress. Na utaweza kukopa tena na tena.

news image