Kuhusu imarisha Maisha Ltd

Imarisha maisha Ltd ni kampuni binafsi inayojihusisha na maswala ya mikopo ya dharura kwa wafanyakazi, watu binafsi na vikundi kwa dhamana rahisi sana. Kampuni imesajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 na kuanza kazi tarehe 16 mwezi wa 11 mwaka 2016. Imarisha Maisha pia inautambulisho wa kampuni namba 130743 kwa Leseni namba 2415670 na TIN namba 131-930-976.