Kuhusu Imarisha Maisha

Imarisha Maisha LTD ni kampuni binafsi inayojihusisha na masuala ya mikopo ya dharura kwa wafanyakazi, watu binafsi na wafanya biashara kwa dhamana rahisi sana. Kampuni inapatikana mtaa wa Uhindini mkoani Dodoma. Kampuni imesajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 na kuanza kazi tarehe 16 mwezi wa 11 mwaka 2016.

Imarisha maisha ina utambulisho wa kampuni namba 130743 na TIN namba 131-930-976., tunatoa mikopo kwa dhamana rahisi kama gari, pikipiki, nyumba, kiwanja na dhamana ya kazi kwa wafanyakazi. Mikopo hutolewa ndani ya muda mfupi na riba zetu ni nafuu sana.

news image
600
Happy Customers
350 +
Awards Win
250
Products
225
Ratings

Huduma zetu

Mikopo ya wafanyakazi
Damana ya mshahara

Wafanyakazi wanaruhusiwa kukopo kiasi chochote wanachokihitaji kulinga na uwezo wa kufanya marejesho kutokana na kazi wanazozifanya, dhamana kuu ya kupata mkopo kutoka Imarisha Maisha ni kazi unayoifanya.

Mkopo binafsi
Dhamana vyombo vya moto

Mtu binafsi anaweza kukopa kiwango anachokihitaji kwa kuzingatia thamani ya dhamana aliyonayo, ili kupata mkopo binafsi dhamana yake ni vyombo vya moto yaani Gari, Pikipiki na bajaji.

Mikopo ya kibiashara
Dhamana ni biashara

Mfanyabiashara anaweza kukopa fedha kwa ajili ya kusaidia kukuza biashara ndani ya muda mfupi, kiwango cha mkopo kinazingatia thamani ya biashara unayoimiliki, Dhamana kuu ni kuwa na biashara inayoingiza faida.