Kwa watu wengi hawajui kalenda zao za kifedha zikoje hasa kwa kipindi hichi cha kumalizia mwaka. Imarisha maisha inahakikisha kalenda yako ya kiuchumi haikwami sehemu yeyote, si kwenye kodi ya nyumba , ada za wanafunzi, kuboresha biashara, na mengineo. Fika katika ofisi zetu sasa tukuhakikishie kalenda yako ya kifedha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *