Dodoma ni moja kati ya majiji sita baada ya Mwanza , Mbeya, Arusha, ,Dar es salaam, na Tanga . Dodoma ni mkoa ambao ulikiuwa na wakazi 2,083,588 mwaka 2012 na sasa wanafika wakazi zaidi ya millioni 4 kwa mwaka 2018. Kwa upande wa serikali, inasema kuna ongezeko kubwa katika makusanyo kutoka shilingi bilioni sita 2016/2017 mpaka shilingi bilioni 20 kwa mwaka 2018.

Shughuli mbalimbali za kimaendeleo na kijamii zimeongezeka sana Dodoma mara baada ya kutangaza tena kuwa makao makuu rasmi ya serikali mwaka 2016. Kuna ongezeko kubwa la wafanyakazi, wafanyabiashara na watu binafsi ambao kila siku wanahamia  Dodoma .Mnamo tarehe 26/4/2016 , Raisi wa Jamhuri ya Muungano mheshimiwa John .P Magufuli alipokuwa kwenye sherehe za muungano zilizofanyika viwanja vya jamhuri Dodoma , alitangaza rasmi na kuupa hadhi mkoa wa Dodoma nakuwa JIJI. Hii imeongeza kasi katika uanzishwaji wa ofisi mbalimbali za serikali ,watu binafsi , Azaki na makampuni.

Imarisha Maisha hatukuwa mbali katika kuijenga Dodoma yetu, kwa wakazi  wote wapya na wale zamani, tunatoa mikopo dharura  yenye riba nafuu kwa dakika 15 tu. Mikopo yetu imewalenga watu wenye kada mbalimbali kama wafanyakazi, watu binafsi na vikundi ambavyo vipo kwa mujibuwa sharia.
Kwa wafanyakazi ,Kazi ya kondio dhamana yako . Pia kwa watu binafsii nategemeana na thamani ya kitu unachomiliki na ungependa kukiweka kama dhamana. Imarisha Maisha ni wakala wa CRDB, NMB, MPESA na TIGO PESA.

One Thought on “Karibu Dodoma, Karibu Imarisha Maisha LTD”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *