Kuhusu Imarisha Maisha

Imarisha Maisha LTD ni kampuni binafsi inayojihusisha na masuala ya mikopo ya dharura kwa watu binafsi pamoja na mikopo ya magari. Kampuni inapatikana mtaa wa Uhindini mkoani Dodoma pamoja na mtaa wa Tabata Bima, Dar es Salaam. Kampuni imesajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 na kuanza kazi tarehe 16 mwezi wa 11 mwaka 2016. Imarisha maisha ina utambulisho wa kampuni namba 130743 na TIN namba 131-930-976, tunatoa mikopo kwa dhamana rahisi kama gari, pikipiki au bajaji. Mikopo hutolewa ndani ya muda mfupi na riba zetu ni nafuu sana.Uza Na Kununua Gari

Imarisha Maisha LTD imeanzisha mradi mpya unaokuwezesha kuuza na kununua magari. Kama una gari na unahitaji kuuza karibu sisi tutalinunua, na kwa mahitaji ya kununua gari karibu ujipatie kwa bei poa.

150,000 +
Wateja walio hudumiwa
98,000 +
Mikopo iliyotolewa
4+
Mikoa
15 +
Huduma za ziada

Huduma zetu

MKOPO BINAFSI
DHAMANA YA VYOMBO VYA MOTO

Mtu binafsi anaweza kukopa kiwango anachokihitaji kwa kuzingatia thamani ya dhamana aliyonayo, ili kupata mkopo binafsi dhamana yake ni vyombo vya moto yaani Gari, Pikipiki na bajaji..

MKOPO WA MAGARI
DHAMANA NI KADI YA GARI

Unaweza kumiliki gari kwa kulipa kidogo, kiasi kinachobakia kukamilisha manunuzi ya gari unapata kama mkopo, marejesho ya mkopo huu yatafanyika ukiwa tayari umeshachukua gari. Dhamana ya mkopo ni kadi ya gari.

HUDUMA ZA KIFEDHA

Sisi ni mawakala wa huduma za bank na mitandao ya simu, pata huduma zote za kutoa, kutuma na kuweka fedha, kulipa ada za shule, kununua luku, kulipa bill Pamoja na malipo yote ya kiserikali.

Misingi Yetu

 • Uwajibikaji

  ImarishaMaisha inaamini katika uwajibikaji kwa wateja wetu pamoja na wadau wote walio kwenye mnyororo wa kifedha.

 • Uwazi

  Tunaaamini katika kutoa taarifa zilizojitosheleza kwa wateja wetu juu ya kanuni na taratibu za kupata huduma zetu kwa urahisi.

 • Uadilifu

  Tumejikita misingi ya maadili, uaminifu, na uwazi katika kutoa huduma zilizo bora zaidi.


 • Maoni

  Tunasikiliza maoni na ushauri kutoka kwa wateja wetu. wasiliana nasi kwa namba 0768 911 049.

 • Shabaha

  Kwetu kuridhika kwa mteja juu ya huduma zetu ndio shabaha yetu kuu. Kila kitengo cha ofisi yetu kinatoa kipaumbele katika ridhiko la mteja

 • Kasi

  Huduma zetu zinatolewa kwa ufanisi mkubwa na kwa haraka.

  Wateja Wetu

  Avatar

  John Peter

  Mnatoa huduma nzuri na taarifa zinazojitosheleza kwetu wateja, hii inatufanya tuweze kufurahia kukopa Imarisha Maisha, hongereni sana endeleeni kutujali wateja wenu

  Avatar

  Juma Maduhu

  Kwetu kuridhika kwa mteja juu ya huduma zetu ndio shabaha yetu kuu. Kila kitengo cha ofisi yetu kinatoa kipaumbele katika ridhiko la mteja

  Kwa Nini Utuchague Sisi

  1.Tunajari Shida Yako

  Iwe ni shida binafsi,ya kibiashara , dharula au kikundi. Kampuni yetu itahakikisha unapata mkopo unaokidhi mahitaji yako

  2.Tutakuhudumia Kwa Wakati

  Hata kama una haraka usijali, huduma yetu inazingatia uharaka wako na tutahakikisha unapata mkopo ndani ya dakika kumi na tano tu.

  3.Masharti Nafuu

  Riba yetu ni ndogo na vigezo vyetu ni nafuu sana, kwani utaweza kulipa kidogo kidogo bila stress. Na utaweza kukopa tena na tena..